Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati akipanda ndege kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba akipewa maelezo na watendaji wa wilaya ya Kaliua mkoani Tabora kuhusu magogo ya miti ya asili yanayotumiwa na wananchi katika kukaushia tumbaku kwa kutumia majiko ya kienyeji wakati akiwa kwenye ziara mkoani Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuagana na mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI aliyemaliza ziara yake ya kikazi na kuondoka jijini Dar es Salaam Oktoba 27,2016
No comments:
Post a Comment